YES- VICOBA ni mradi endelevu uliobuniwa na unaosimamiwa na Happy Welfare Foundation, taasisi iliyosajiliwa na serikali kwa namba 00NGO/R/4700 kwa lengo la kusaidia wananchi kuimarisha uchumi wao. Ndani ya mradi huu kuna YES-VICOBA biashara,elimu na viwanja.
KARIBU SANA